Ushauri, Mafunzo na Elimu ya Biashara na Ujasiriamali

Arusha
Tanzania Show map

ya Elimu ya Ujasiriamali na Biashara kwa ushauri, mafunzo, mbinu na huduma za kuanzisha, na kukuza biashara yako.  Tunatoa huduma za kuandika mpango/mchanganuo wa biashara, mpango mkakati, andiko la mradi, ripoti, utunzaji wa fedha, kusimamia wafanyakazi, elimu ya masoko na wateja, ubora wa bidhaa na huduma, kutengeneza mitandao ya biashara, mambo ya kisheria,uwekezaji wa juu nk. Tunakuomba fuatilia website yetu upate maelekezo zaidi na ushauri kwa undani.

    ШтампатиПријави

    Contact this advertiser